Friday, November 19, 2010

CCM acheni fitina

Kushindwa kwa Batlida Burian jimbo la Arusha kulianza kujionyesha mapema kutokana na mgawanyiko ndani ya CCM, vilevile yeye mwenyewe alijisahau akaweka mbele kupokea majungu,mwisho magazeti ya Arusha raha na Mererani yalimfagalia kwa kuzidisha chumvi, hali iliyochangia baadhi ya wapiga kura wakose mwelekeo ndio maana wengine wakapuuza kupiga kura.
Nebert Mramba

No comments:

Post a Comment